…kwanza tunaona kwamba Mungu aliumba mtu siku ya sita na kwa mwisho. Na hakukuwa mwanamke. Na kisha akapumzika siku ya saba ambapo inabidi kuona miaka mingi. Tena alipoona kwamba mtu alikuwa peke, Mungu akaamua kumufanyia msaidizi. Lakini, katika mpango ya asili, Mungu hakuona kwamba ni ya muhimu. Ndiyo maana usomi mzuri wa Mwanzo2:18 ni: « Na Bwana Mungu akasema: si vema [zaidi] mtu awe peke yake; nitamfanyia msaidizi anaye mustahili».
Basi mwanamke hakuwa katika asili ya uumbaji lakini alitoka ndani ya mume. Mbwa za kike, kuku, na vingine ni viumbe asili lakini sivyo kwa mwanamke. Ndiyo maana kwa kila aina ya nyama, ngono ni kwa muda fulani lakini kwa mtu sivyo. Na hauwezi kuona mbwa dume akipandia mbwa dike iliyo na mimba. Munaona? Sivyo kwa mtu. Hata mwanamke mzee asiye ona tena hezi anafanya ngono. Munaona? Ninaweza kusema basi na heshima kwamba mwanamke ni kiumbe cha hali ya chini sana katika uumbaji. Na… Basi ni Mungu mwenyewe kwa ukubwa wake aliye muweka chini ya mamlaka ya mume. Hivyo, wakati yeye hayuko chini ya mamlaka ya baba yake, anajiweka chini ya mamlaka ya mume wake. Baba yake au mume wake ana mamlaka ya kuvunja naziri zake. Angalieni Hesabu 30… Munaona? Yesu Kristo hakuja kumaliza mambo haya. Basi tunafahamu pamoja na Mwanzo sura 2 kwamba mwanamke hakuwa pale wakati Mungu alikuwa akileta maagizo kwa Adamu katika bustani. Kuna sababu kwa hayo! Hakuwa pale wakati Adamu alipo kuwa akileta majina kwa wanyama, ndege na vingine! Munaona? Mungu alifanya yote ile ili mwanamke atambue nafasi yake.
Kwa ajili ya huduma yake, ikiwa mtu hakuja duniani kwa kutimiza kazi moja kama ile ya Yuda, hawezi kubali mwanamke juu ya mazabahu; na kama wewe si beberu, ambaye alizaliwa kwa kudanganywa, huwezi kaa kusikiliza mwanamke anapo hubiri au kuongoza nyimbo ijapo wanamume ni pale! Hata kama anaifanya vizuri, ni shetani iliyo nyuma yake. Asili yenyewe inatufundisha kwamba mwanamke hana ndani mwake mbegu za binadamu. Na kijana moja tu katikati ya wanawake anabadilisha aina ya kundi kuwa ya kiume. Mtoto wa Mungu hawezi kwenda kinyume ya mambo ambayo Mungu ameweka hata pasipo Roho atasumbuka tu! Biblia haiwezi kujipinga. Yesu angeliweka mwanamke kuwa mtume au mfwasi halafu ingeonyesha kwamba yeye hakuwa Masiya. Paulo angeli ruhusu mwanamke kuhubiri halafu ingeli onyesha kwamba alikuwa mwongo, haizuru yote aliweza kufanya kama miujiza, ingekuwa tu miujiza ya udanganyifu. Katika Agano la Kale mzima, hakuweko mwanamke kuhani. Hata duniani hakuweko mwanamke waziri, ni amri ya uhuru wa mwanamke iliyo weka mwanamke pale! Hakuweko na Waziri mwanamke. Na tunajua kwamba wanawake walionekana kwa kazi za mataifa kupitia amri ya uhuru wa mwanamke. Tuliona wanawake wakipiganisha haki ya uchaguzi huko Ulaya pia huko Amerika lakini katika Agano la Kale, kule Israeli, wanawake hawakuweza kuhesabiwa. Na huko Afrika, mwanamke hawezi kuwa mwami wa kijiji. Hata kijijini watu wanapo kusanyika, wanawake hawana ruhusa ya kusema. Ile ambayo Mungu aliwapa wayahudi kwa muandiko, aliipatia pia wapagani juu ya moyo wao! Je! Ni nyinyi mulio wafundisha kutoa mali katika ndoa? Malimbuko? kuleta jina ya baba kwa mzaliwa wa kwanza? Na wakati wa zambi kubwa au wakati ya agano, kufanya toleo ya damu? Ni hivyo pia Mungu aliwafunulia wapagani nafasi ya mwanamke. Hata pasipo mafundisho, wanajua kwamba zambi ya asili ni tendo la ngono.
Na sielewi kwamba watu waliyo na Biblia mkononi wanaweza kutenda hivyo, kuweka wanawake kwa mazabahu ili wahubiri au kuongoza nyimbo za kusifu ijapo wanaume ni pale. Na mara, inawezekana wanawake wawe kwa wakati mbaya, wana hezi na wanaweka vitambaa chini yao kwa kuja kwa mazabahu. Hamuna kitu katika zamiri yenu! Ninyi ni waovu zaidi kuliko wakatolika na waislamu na munatafuta kuwapasha habari njema. Ikiwa haufwati shabaha ingine, hauwezi kwenda kuketi ndani ya kanisa kama hiyo. Hata iwe kuhubiri au nyimbo, ni namna moja. Kukosa kwa nusu ni kukosa kwa yote. Na wanajidai kuwa na Roho Mtakatifu ambayo haiwaambie kitu ijapo Biblia inasema kwamba atakapokuja, atawaongoza katika kweli yote! Ikiwa katika Agano La Kale, katika mpango wa Baba, Mungu hakutolea mwanamke kuwa kuhani na ikiwa katika hali ya mwana, hakutolea mwanamke kuwa muhuduma, sioni kwa nini ataifanya akiwa katika hali ya Roho Mtakatifu kama siyo mtu moja tu. Roho yote itakayo kubali au kutolea Mwanamke kwa kazi hizo, siyo roho ya Mungu! Na yeyote anaye itetea ana pepo na yeye hajajua bado wala Neno, wala Roho.
Mwanamke anaweza kufanya yote kwa namna ya upekee au kwa jumla lakini hizo kazi za mamlaka zimetayarishwa kabisa kwa wanaume peke yao ikiwa wao ni pale. Inayopitika ndani ya makanisa ni kabisa picha ya amri ya uhuru wa mwanamke ndani ya unyumba, ndani ya uongozi na ndani ya siasa kinyume ya amri ya Mungu. Ijapo kuna baba za jamaa wanao kosa kazi, kunakuwa wanawake wanao acha nyumba zao na maadibisho ya watoto wao katika mikono ya televisheni na ya kijakazi. Mtoto mchanga hatapata wala kifukutu ya mama wala maziwa ya mama wala maadibisho ya mama. Mtoto kama huyo atakuwa je?
Ole kuu ya ulimwengu ikawa amri ya uhuru wa Eva na leo tena ni amri ya uhuru wa mwanamke na ile sasa imepelekwa kanisani. Baada ya wokovu, mwanamke akawa baraka kuu sana ambayo Mungu alimupa mtu lakini alipendelea kumuabudu na kumupa nafasi yake ili atawale juu yake! Sawasawa jinsi pesa iliyo weza kuwa msaada kwake imegeuka mungu wake. Tangazo au gazeti inayoonyesha mwanamke uchi inastahili mara na mara heshima. Kwa upande wote, shetani anasukuma kila mara mwanamke kutamani kile ambacho hakupewa na Mungu kama kuzaa, kushuhudia kama vile mwanamke msamaria, kusafisha hekalu, kupanguza viti, kufunga na kuombea kazi ya Mungu kama vile Ana, kutabiri au kusema kwa lugha kama anavyo sema Yoeli 2:28, siyo kazi ya Mungu. Hata Foibe katika Rom.16:1-2 alijulikana kuwa mtumishi wa Mungu kwa kupokea na kusaidia watakatifu. Maagizo yote ya Paulo katika 1Kor.14:34-38 na 1Tim.2:11-15 zilianguka katika masikio ya viziwi, wana wa shetani waliitafsiri kufwatana na tamaa yao ili wafikie shabaha yao. […munaona? Na katika huduma hii kama ile ya Yesu au haizuru huduma gani ya kweli, je! Hatukuona watumishi wa Mungu? Wadada Priska na Cecile hawanisaidii? Na ilipo hitajika kufanya mchango kwa ajili ya kutengeneza toleo la kwanza la kitabu hiki, siyo dada moja aliye toa sehemu kubwa? Na kwa toleo la pili siyo dada moja aliye toa mikononi mwangu sehemu inayo hitajika kwa toleo yote? Munaona? Kwa sababu wana mapenzi mema na wanahitaji kufanya jambo fulani, Mungu mwenyewe anawapa kuifanya. Munaona? Biblia haizungumzie Ana, Foibe, Tabita, Suzana na wengine?...]. je! Biblia yenu inasema katika Mezali 31 kwamba muke mwema ni kuhani? Siku moja mutajibu kwa yote haya mbele ya Mungu!
1Tim.2:15 inasema kwamba mwanamke ataokolewa kwa kuolewa, kwa kuzaa na kwa kuadibisha vema watoto wake. Hukumuni kila mwanamke atajibu kwa ajili ya mwenendo ya watoto wake. Mungu anamwita kuadibisha watoto wake. Na badala ya kufikiria mambo haya, anatamania mazabahu. Ndugu, [hiyo] ni uchawi. Na Osborn anasema kwamba wanawake wanaweza kubatiza… Watu kama hawa, wasipo tubu, hawata shangaa kujikuta kuzimu. Na wanapo soma Zab.68:11, wanaacha shairi la 12 kusudi nafsi wanao taka kuzichinja zisifahamu kwamba ni habari njema ya vita. Someni 1Sam.18:6-7: walitoka miji yote… Munasema: "Ndugu Filipo, kwetu sisi, ni waimbaji tu!". Ndugu, ni hali moja! Munionyeshe shairi moja tu ya Biblia pahali mwanamke aliwekwa mwimbaji! Someni Mambo ya siku, Ezdra na Nehemia na mumurudilie Mungu! Someni 2Mambo ya Siku 35 na mutaona kwamba waimbaji walikuwa walawi, wana wa Asafu kufwatana na amri ya Daudi, wana wa Asafu, na wana wa manabii…
Na namna gani mwanamke anaweza kuwekea mtu mikono? Inawezekana ana hezi, na kama ndivyo, hata malaika hawezi kukukomboa. Hasa ginsi inaweza kufika ghafla. Wayahudi walikataa Masiya lakini muyahudi hatakubali mwanamke kwa mazabahu! Mufahamu kwamba hamuabudu na hamtumikii Mungu wa wayahudi ambaye Paulo alitumikia. Ninyi wana na binti wa shetani sikieni ambayo Paulo alisema baada ya kuletwa kwa Roho Mtakatifu: "wanawake wenu wanyamaze katika makutano kwani hawaruhusiwe kusema lakini watii kama sheria pia inavyosema. Nao kama wakitaka kufundishwa jambo fulani, waulize waume wao wenyewe katika nyumba zao, kwa sababu ni haya kwa mwanamke kusema katika kusanyiko… kama mtu akizania ya kuwa yeye ni nabii au wa kiroho, ajue maneno ambayo ninawaandikia ninyi ya kwamba ni agizo la Bwana. "[1 Kor.14 : 34-38]. Paulo anasema:"kama sheria pia inavyosema!", anasema:"Ni agizo ya Bwana!"…kama sheria pia inavyosema! Munaona? Kwa kukubali tu vitabu tano vya Musa, Waislamu… hakuna mwanamke mwalimu kwa waislamu. Na ni wanawake wasio na hezi ndio wanao kwenda katika Moskiti na sasa munataka kuwahubiri? Kusudi wanawake wenu waliyo na hezi, walio na vitambaa chini yao wawawekee mikono? Wana wa Kaina! Mulaaniwe! Ndiyo maana Mungu aliweka moyoni mwao kuwachukia, ninyi wana wa zambi na wa upotevu.
Someni Mdo.2:16 na mutaona kama Yoeli 2:28 haitimie pale!... nini basi wanadamu wanataka kuonyesha Mungu? Wanataka kumuonyesha Kwamba mwanamke ambaye anamuzarau anaweza pia kufanya mambo mengi? Kwamba mwanamke pia ana bidii na mwenye akili kama mwanamume? Kwamba mwanamke akiwa kuhani, injilisti, mtume, mchungaji au mwimbaji angeweza utumishi wake kama mwanamume wowote? Hakika! Lakini sisi, wana wa Mungu, tunaipinga siyo kwa kuwazarau au kwamba hawataweza mbele ya wanamume lakini kwa sababu Mungu hakuwapa ruhusa kuifanya. Tusome 1 Tim.2:11-12 baada ya kuja kwa Roho Mtakatifu: "... Mwanamke ajifundishe katika kimia, kwa utiifu yote; lakini siruhusu mwanamke kufundisha wala kuchukua mamlaka juu mwanamume; lakini inamubidi kudumu katika kimia."
Na Mungu abarikiwe kwani tangu Mtume Paulo, mtakatifu Martin, Colomban, Wesley, Lutheri, William Branham, watumishi wote wa kweli ambao Mungu aliwatuma duniani hawakutia wanawake kwa sakafu. Hata mbele ya karne ya XVIII mambo haya hayakupatikana katika ukristo, hata katika katolika! Mambo haya yalikuwa kazi ya amri ya uhuru wa mwanamke, pia kazi ya makanisa za kiinjili. Na kwa hizo karne za XX, shetani katika hali ya mwanadamu, anayeitwa kwa jina la T.L. Osborn alikwenda hata kuwaomba wanawake wabatize… Anaye muona mtu huyu, ameona shetani.
Baada ya maneno haya, mtoto wa Mungu ataweza tu kutubu ikiwa hashikwi tena na mapepo. Kwani ninaona ulimwengu mzima umeshikwa na mapepo wachafu na hivyo inahitaji uwezo kuu kwa kuukomboa hata wachaguliwa pia. Tayari dunia imepokea kile ambacho tutapokea siku ya kuchukuliwa, wana nafsi iliyo vikwa na malaika walio angushwa. Siyo tena wao wanao ishi, kuwaza au kufikiria lakini pepo, hakika kama vile wazimu! Wao sasa ni wafungwa wa uwezo ambao umeshika uongozi wao. Hiyo ni kama kanzu la wingu linalo wafunika. Siyo kutafuta kuwafasiria vema lakini kuwakomboa. Hautaweza kufahamisha wazimu! Munaona? Wana tu imani na mapenzi ya pepo. Kila kanisa ina pepo ambayo unaweza kupokea kwa kuamini teolojia ya kanisa lile, au kujiachilia ili uwekewe mikono na viongozi vyake. Ndiyo maana nina wakataza kusoma vitabu ovyo, hata kama yaliyomo ni kweli! Dunia nzima imetawaliwa na uchawi inayo waleta kuamini kwamba wao ni katika kweli pamoja na utabiri na kunena kwa lugha, miujiza, ili watimize ile inayo semeka katika 2 Tes.2…kwa mfano wa kutenda kwa shetani kwa aina yote ya miujiza na alama na maajabu ya uongo, na kwa udanganyifu wote… kwa wanao potea kwa sababu hawakupokea upendo wa kweli, ili wapate kuokolewa. Na kwa sababu hiyo, Mungu anawatumia nguvu ya upotevu ili waamini uongo na wapate kuhukumiwa!
Ni Mungu mwenyewe kama katika Mat.24:24 aliye « pandisha » hizo nyota zinazo tangatanga ambazo ni Kacou Séverin, Morris Cerullo, Osborn, Cecil Robeck, Reinhard Bonnké, Benny Hinn na wengine kwa kujaribu wanaokaa duniani! Namna gani watu, makanisa wanao mafundisho mbalimbali wanaweza kuungana na haiwaambii kitu! Tayari mumekwisha kuona zizi inayo ndani mwake kondoo, ngombe, mbuzi, nguruwe,… na hiyo ndiyo munaita upendo? Osborn anapokwenda katika nchi moja, wabatisti, wapentekoste, wamethodisti, kusanyiko za miungu,…wanafurahi!
Je! Mchungaji wa kimetodisti anaweza kuwa mchungaji katika foursquare au kwa waadventisti? Je! Mumetodisti anaweza kula meza ya bwana kwa wabatisti? Je! Basi munafanya nini pamoja? Mukiwa wote na Roho Mtakatifu sasa kwa nini hizo mapingano? Matayo, Marko, Luka, Yoane wanapo kuwa na Roho Mtakatifu waliandika Injili nne, je! Walipingana? Katika mwanzo ilikuwa Neno na watoto wa Mungu waliumbwa kwa Neno ndiyo maana watajitambua katika hii ujumbe, ahadi ya Mungu kwa wakati wao. Hata ikiwa watu makumi nne (arobaini) ndiyo wameamini duniani kote, ni wale Mungu alitayarisha! Sawasawa wakatoliki walikataa urekebisho, ndivyo wabranhamisti wamekataa kelele ya katikati ya usiku ili wabaki kwa wakati ya jioni na kuingia katika kambi la makahaba. Na kabla malaika na mwana kondoo kushuka katika ono la 1993, kulikuwa patwa jua (mwezi), niliona vema fulusi nyeusi pahali pa jua. Na ni mbinguni mahali walitokea na dunia iliangazwa… na ninaweza sema kwa namna kamilifu kwamba nyakati za jioni zilimalizika kwa 1993.
Kufwatana na Ufu.4:7, tuko katika wakati wa kiumbe chenye uhai cha nne, tai ambayo inabidi isimame juu ya uwongo wote, teolojia yote, roho yote ya udanganyifu na Biblia inasema kwamba kwa wakati ule tai watakusanyika kando ya Neno mbichi. Pahali kunakuwa Neno safi, ni pale wachaguliwa watakusanyika, watoto wa Mungu kama inavyo andikwa katika Mat.24:28. Amina! Kunguru, wanao kula maiti, ndege kubwa kubwa, ndege nyingine zinazolishwa kwa nyama,… haziruki juu sana hivyo yote wanakuta inawafurahisha. Wanayo hitaji, ni kitu kinacho weza kuwashibisha. Iwe ubatizo kwa jina la Yesu Kristo wala kwa utatu [mtakatifu], wanawake wahubiri au wawe waimbaji,… wanapigania viozo vya teolojia na yote tai waliacha.
Baada ya tarehe 24 aprili 1993, katika ono moja, tuliketi katika chumba cha mashindano ya cheti kuu na mwenye kujaribu alikuwa akigawanya mashindano. Nilisema moyoni mwangu: "lakini ninafanya hapa nini? Sikufanya hata somo la mzunguuko wa pili [mzunguuko wa 2 hapo: somo za 2, 1 na ya mwisho] na nitaandika nini?" Na baadae kidogo, nikaambiwa: "sawasawa Maria alichukua mimba kimiujiza, pasipo kujua mume, sawasawa Musa alipokea moja kwa moja yaliyo pitika kwa uumbaji,…umepokea maneno ya uzima wa milele hii tarehe 24 Aprili 1993 na imesimamishwa na Mungu mwenyewe. Wakati itakapo timia, utafahamu na utafundisha mambo ambayo hukufundishwa na mtu ili anayeamini, awe na uzima wa milele ", ni "Ndivyo asema Bwana" isemwayo na nabii. Sija shiriki bado seminari au mafunzo ya kibiblia, sisomi vitabu vya maduka zenu za vitabu vya kikristo lakini nilipata ujuzi wa maandiko… Shida ni kwamba sina kiwango cha shule. Na ninaamini mwenyewe kwamba kazi hiyo inatoka kwa Mungu ndiyo maana kunaweza kupatikana hapa wanafunzi wa chuo kikuu wakikaa hapa, wenye elimu, wahubiri wa kale na wachungaji wa makanisa,… na siku moja, ikiwa Mungu atanikinga na joka, mutaona waamuzi wa aina yote wakikaa kati yenu kwani kati yao pia kunapatikana wachaguliwa…
Biblia inasema katika Ufu.12:14 kwamba mabawa mawili ya tai kubwa yatapewa kwa tai ndogo ndogo kwa kuwabeba mbali na uso wa nyoka na tunaona mateso inayoanza kwa shairi ifwatayo [15]. Kwa wakati hiyo, shetani anajifunua kama nyoka katika ile shairi moja, roho ya uchawi, na makanisa zimejazwa nayo.
Yeyote anaye tupilia mbali mahubiri ya Mat.25:6 atapokea tu roho ya uchawi kama Roho Mtakatifu! Nimewaonyesha tena Yesu Kristo ambaye muko mukimusulibisha. Na yote muko mukifanya maana yake ni: "Damu yake ianguke juu yetu na juu ya watoto wetu". Kutakuwa mvuto.
Vema, kusema «nendeni kukutana naye» siyo vema kwani kelele na Bwana Arusi ni moja. Ndiyo maana kelele lilisema « Tazama » hapana « Tazama kule »! Wakati hii, hatuna tena tafsiri ya Louis Segond, King James, Ostervald, Semeur, Colombe,... zimechomwa. Kumbukeni kwamba ono la pili, nilisimama katika jangwa na Neno lilishuka toka mbinguni, juu ya mawingu za mbinguni ambazo ni malaika, kama kwa wakati wa Musa katika jangwa… ukiwa mtoto wa Mungu au ukiwa na Roho Mtakatifu, hautaweza kubaki mbali nayo kwani Biblia inasema kwamba pahali Neno linapatikana, ni pale tai watakusanyika.
Ninyi wandugu! Wa Afrika, wa Ulaya, Wa Asia au wa Amerika; mulingojea ujumbe wa Mt.25:6 labda katika nchi yenu lakini Mungu ameifanya kwa namna ingine. Kumbukeni Bwana wetu! Akiwa kuhani mkuu Melkisedeki, wakuu wa dini na waandishi waliona kwamba ilimubidi kutoka katika kabila la Lawi. Lakini alitoka katika kabila la Yuda. Tena, ujumbe wake na kazi zake zilithibitisha kwamba ilikuwa ni yeye.
kurudi kwa utaratibu